Darasa Huru

Darasa Huru

Limitless Potential

Your academic success starts here — free notes, books, and more.

Kuongeza Msamiati Wa Kiswahili

Uundaji wa Maneno Lugha hukua na kubadilika kila wakati kulingana na maendeleo ya jamii. Kigezo kimojawapo cha kukua na kubadilika kwa lugha ni kuongezeka kwa msamiati. Ili msamiati uongezeke katika lugha, sharti maneno mapya yaundwe. Njia za Uundaji Maneno Njia

Kusoma Kwa Ufahamu

Kusoma Kimya Ufahamu wa kusoma ni ule mtu anaoupata kwa njia ya kusoma makala, kifungu cha habari, kitabu au gazeti. Maswali ya Ufahamu kutokana na Habari uliyosoma Jibu maswali ya ufahamu kutokana na habari uliyosoma Katika ufahamu wa kusoma, msomaji

Uandishi Wa Insha Na Matangazo

Uandishi wa Insha za Kisanaa Misingi ya Kuandika Insha Elezea Misingi ya Kuandika Insha Insha za kisanaa ni insha zinazoelezea mambo ya kawaida katika jamii lakini kwa kutumia lugha ya kisanaa. Lugha ya kisanaa inajumuisha matumizi ya tamathali za semi,

Utungaji Wa Kazi Za Fasihi Andishi

Utungaji wa Hadithi Mikondo ya Hadithi Pambanua Mikondo ya Uandishi wa Hadithi Kazi za fasihi andishi ni sanaa inayohitaji ubunifu wa mwandishi ili ziweze kuwa na mwonekano wa kisanaa. Fasihi andishi hutumia lugha ya kisanaa, ambayo ni kipengele muhimu sana

Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Andishi

Fasihi andishi ni tawi la fasihi linalotumia sanaa ya maneno kufikisha ujumbe kwa hadhira kwa njia ya maandishi. Zipo aina nyingi za fasihi andishi, miongoni mwa hizo ni pamoja na hadithi fupi, riwaya, tamthiliya na mashairi.

Maendeleo Ya Kiswahili

Asili ya Kiswahili Ushahidi wa Kimsamiati na Kimuundo unaothibitisha Ubantu wa Kiswahili Asili ya Kiswahili ni mada yenye mjadala mrefu, ambapo wataalamu mbalimbali wanahitilafiana juu ya chimbuko lake. Wapo wanaodai kuwa Kiswahili ni cha Kiarabu, wakati wengine wanashikilia kuwa ni

Mjengo Wa Tungo

Maana ya Tungo Tungo Maana ya TungoTungo ni kipashio cha kisarufi kilichoundwa kwa kuunganisha pamoja vipashio vidogovidogo vilivyo chini yake. Kwa lugha rahisi, tungo ni neno au kikundi cha maneno ambacho hudokeza taarifa fulani, ambayo inaweza kuwa kamili au isiyo

Ngeli Za Nomino

Kuzielewa ya Ngeli na Upatanishi wa Kisarufi katika Sentensi Upatanishi wa Kisarufi katika Sentensi Ngeli ni vikundi vya majina ya Kiswahili. Ngeli za nomino ni utaratibu unaotumika kuweka nomino katika matabaka au makundi yanayofanana. Mfano 1 Katika mifano hii, tunaona

Form Three

Somo la Kiswahili kwa Kidato cha Tatu kwa ujumla linazingatia maudhui muhimu ambayo yanamsaidia mwanafunzi kuboresha uwezo wake katika lugha ya Kiswahili. Hapa nitatoa maelezo ya kutosha kuhusu masomo ambayo mwanafunzi hujifunza katika kiwango hiki cha elimu: Kwa ujumla, somo

Ufahamu

Ufahamu ni dhana inayorejelea kujua na kulielewa jambo kwa usahihi na kuweza kulielezea upya kwa usahihi bila kupoteza maana yake ya msingi. Ufahamu wa mtu waweza kupimwa katika kusikiliza jambo au katika kusoma.

Agricultural Development

What is Agriculture? Agriculture refers to a fundamental human activity, which i...

Population and Development

POPULATION STUDIES Is the general activities carried out for the purpose of acqu...

Study of Soil

CONCEPT OF SOIL AND SOIL PROFILE Soil appears very complex and thus differe...

Water Masses

GROUND WATER WATER CYCLE Rain falls on the earth surface in filtrates (soaks int...

Topic

The Dynamic-Earth And Consequence

THEORIES THEORY OF ISOSTASY Denudation has been going on the continents where to...

Position Behaviours And Structure Of The Earth

GLOBE Is the model of the earth Earth Is ball of rock partly covered by wat...

Photograph interpretation

Photograph are the true image pictures showing truly appearance of the earth’s...

Maps and map interpretation

What is a map? Map is a scaled conventional representation of the whole or any o...

Simple survey and mapping

INTRODUCTION TO SURVEYING Surveying is an art or a science of measuring and reco...

Field research techniques

Definitions of Research – Research is the systematic investigation into a...

Application of statistics in geography

STATISTICS Statistics is a branch that deals with every aspect of the data. Stat...

Chat Icon Close Icon