Transforming education with easy access to quality resources.
Ufahamu ni dhana inayorejelea kujua na kulielewa jambo kwa usahihi na kuweza kulielezea upya kwa usahihi bila kupoteza maana yake ya msingi. Ufahamu wa mtu waweza kupimwa katika kusikiliza jambo au katika kusoma.
Ili kitu kidumu ni lazima kihifadhiwe; fasihi simulizi kama sanaa kutokana na umuhimu wake katika jamii nayo huhufadhiwa kwa ajili ya faida ya kizazi kijacho. Katika mada hii utaweza kujifunza umuhimu wa fasihi simulizi katika jamii. Utajifunza njia mbalimbali zitumikazo
Usimulizi ni jumla ya maelezo yanayotolewa na mtu au watu wengi kuhusu tukio fulani. Tukio hilo linaweza kutokea katika wakati mfupi uliopita au zamani kidogo.
Kazi za fasihi simulizi hazikutokea tu, zilitungwa. Mtu fulani alikaa na akatunga kazi fulani ambayo inajulikana katika jamii. Katika mada hii utajifunza kanuni mbalimbli zinazohusika na utunzi wa kazi za fasihi simulizi. Pia utapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutunga
Fasihi simulizi kama zilivyo kazi nyingine za fasihi andishi hufanyiwa uhakiki. Uhakiki huu huzingatia vipengele vya fani na maudhui ili kubainisha usanaa wa kazi husika pamoja na kile ilichokusudia kufikishwa kwa hadhira.
Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha kwa kuzingatia mila, desturi na kaida mbalimbali za jamii inayohusika.
Kila mada inafundishwa kwa kutumia vitabu vya kiada vilivyopitishwa na wizara ya elimu, pamoja na nyenzo nyingine za ziada kama vile makala za magazeti, vipindi vya redio na televisheni, na mitandao ya kijamii. Lengo ni kuhakikisha wanafunzi wanapata maarifa na
Lengo kuu la somo la Kiswahili ni kuwasaidia wanafunzi kuwa na ujuzi wa kutosha wa lugha hii, waweze kuitumia kwa ufasaha katika mawasiliano yao ya kila siku na pia waweze kuelewa na kuthamini fasihi na utamaduni wa Kiswahili.
What is Agriculture? Agriculture refers to a fundamental human activity, which i...
POPULATION STUDIES Is the general activities carried out for the purpose of acqu...
CONCEPT OF SOIL AND SOIL PROFILE Soil appears very complex and thus differe...
GROUND WATER WATER CYCLE Rain falls on the earth surface in filtrates (soaks int...
THEORIES THEORY OF ISOSTASY Denudation has been going on the continents where to...
GLOBE Is the model of the earth Earth Is ball of rock partly covered by wat...
Photograph are the true image pictures showing truly appearance of the earth’s...
What is a map? Map is a scaled conventional representation of the whole or any o...
INTRODUCTION TO SURVEYING Surveying is an art or a science of measuring and reco...
Definitions of Research – Research is the systematic investigation into a...
STATISTICS Statistics is a branch that deals with every aspect of the data. Stat...