Explore, learn, excel—educational resources made simple and free.
Ufahamu wa Kusikiliza Ufahamu wa kusikiliza ni zaidi ya kusikiliza tu kile kilichosemwa; ni uwezo wa mtu kuelewa maana ya maneno anayoyasikia na kuweza kuhusiana nayo kwa namna fulani. Kwa mfano, mwanafunzi anaposikiliza hadithi, ufahamu mzuri wa kusikiliza humsaidia kuielewa
Uandishi wa Insha za Kiada Insha ni kifungu cha maandishi kinachoandikwa kutokana na mtazamo wa mwandishi katika kujadili mada fulani. Mwandishi anaweza kuandika kuipinga au kuishadidia mada hiyo. Kuna aina mbili za insha: insha za kaida (zisizo za kisanaa) na
Utungaji wa Mashairi Mambo ya Kuzingatia katika Utungaji wa Mashairi Utungaji au uandishi wa kubuni ni ule unaotokana na hisia ambazo zinamsukuma mtunzi ili atunge kazi yake. Hisia zinaungana na wazo ambapo vitu hivyo vinamsumbua akilini na kumkosesha raha. Mwandishi
Uhakiki wa Ushairi, Tamthiliya na Riwaya Dhana ya Uhakiki Uhakiki ni kitendo cha kutathmini, kueleza, kuainisha na kutoa maoni juu ya kazi fulani ya fasihi kwa kuongozwa na kaida maalum. Kwa kiwango cha elimu ya sekondari, mhakiki hufanya kazi ya
Ukuaji na Ueneaji wa Kiswahili Katika Enzi ya Waingereza Mambo Waliyochangia Waingereza Katika Ukuaji wa Kiswahili Nchini Tanzania Waingereza walipochukua koloni la Tanganyika kutoka kwa Wajerumani walikuta Kiswahili kimeimarika na kinatumika katika maeneo mengi ya nchi. Ingawa hawakuwa na lengo
Uundaji wa Maneno Lugha hukua na kubadilika kila wakati kulingana na maendeleo ya jamii. Kigezo kimojawapo cha kukua na kubadilika kwa lugha ni kuongezeka kwa msamiati. Ili msamiati uongezeke katika lugha, sharti maneno mapya yaundwe. Njia za Uundaji Maneno Njia
What is Agriculture? Agriculture refers to a fundamental human activity, which i...
POPULATION STUDIES Is the general activities carried out for the purpose of acqu...
CONCEPT OF SOIL AND SOIL PROFILE Soil appears very complex and thus differe...
GROUND WATER WATER CYCLE Rain falls on the earth surface in filtrates (soaks int...
THEORIES THEORY OF ISOSTASY Denudation has been going on the continents where to...
GLOBE Is the model of the earth Earth Is ball of rock partly covered by wat...
Photograph are the true image pictures showing truly appearance of the earth’s...
What is a map? Map is a scaled conventional representation of the whole or any o...
INTRODUCTION TO SURVEYING Surveying is an art or a science of measuring and reco...
Definitions of Research – Research is the systematic investigation into a...
STATISTICS Statistics is a branch that deals with every aspect of the data. Stat...