Wizara ya Afya
DUTIES AND RESPONSIBILITIES
i.Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa mbalimbali katika fani husika.
ii.Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa
iii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi
iv.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa
v.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
vi.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake
vii.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake
viii.Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo
ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake
x.Kutoa huduma za outreach katika kanda
xi.Kutoa huduma za medical legal
xii.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya
xiii.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini.
xiv.Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya.
xv.Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya.
xvi.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya
xvii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Peditriacs (M.Med au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanganyika).
APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19
.
APPLY NOW
Johari Rotana is an esteemed name in the hospi...
Alpha Associates LimitedLocation: Dar es Sala...
Job type: Full-timeChemonics International Inc...
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Δ
Translation is a process by which ideas that are written in one language ar...
Are the abilities that allow you to write effectively and concisely. A competent...
Reading is the process of going through written information or piece of wor...
What is Speaking? SPEAKING SKILLS: Speaking is simply the act of talking wh...
Listening is ability to accurately receive and interpret messages in the communi...
This is the field or branch of morphology which studies different principles or ...
Language is a symbol system based on pure or arbitrary conventions…...
Ecology is the study of the interactions between living things, such as humans, ...
EVOLUTION Evolution is a change in the genetic composition of a population...
Genetics is the study of heredity and variationHeredity- is the passage of chara...