Darasa Huru

Darasa Huru

Limitless Potential

Learn with ease, study with confidence.


Wizara ya Afya

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

Kufanya kazi zote za matibabu hospitalini zinazohusiana na magonjwa    mbalimbali katika fani husika. 

ii.Kupanga, kusimamia na kutathimini huduma katika wilaya au mikoa 

iii.Kufundisha wanafunzi katika vyuo vya afya vilivyo eneo lake la kazi 

iv.Kuchunguza, kufuatilia na kuzuia milipuko ya magonjwa 

v.Kutayarisha elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. 

vi.Kufundisha na kuelekeza watumishi walio chini yake 

vii.Kusimamia wafanyakazi walio chini yake 

viii.Kubuni, kuendesha na kutathimini utafiti na kusambaza matokeo 

ix.Kubuni na kutayarisha mikakati ya kuinua ubora wa huduma ya fani yake 

x.Kutoa huduma za outreach katika kanda 

xi.Kutoa huduma za medical legal

xii.Kushiriki katika kutengeneza na kusimamia utekelezaji wa Sera na Mipango ya Serikali juu ya afya 

xiii.Kushauri wizara kuhusu uendeshaji wa shughuli za afya nchini. 

xiv.Kushiriki katika kamati ya jopo la madaktari (medical board) kwa ajili ya kustaafisha wafanyakazi kwa matatizo ya kiafya. 

xv.Kutayarisha mitaala ya elimu ya kujiendeleza ya watumishi wa afya. 

xvi.Kuandaa mipango na makisio ya bajeti ya huduma za afya 

xvii.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye shahada ya uzamili ya Udaktari Bingwa katika fani ya Opthalmology (M.Med au PhD kwenye fani ya Udaktari) ya miaka mitatu au zaidi kutoka vyuo vikuu vinavyotambuliwa na Serikali. Wawe wamesajiliwa na Baraza la Madaktari Tanganyika (Medical Council of Tanfganyika)

APPLICATION TIMELINE: 2025-03-06 2025-03-19

.

APPLY NOW

Related Post

Nafasi Ya Kazi :- 57 Job Opportunities At Ai

Job OverviewAir Tanzania Company Limited (ATCL...

Nafasi Ya Kazi :- 11 Jobs Still Open At KSCL

Join Kilombero Sugar Company Limited Today!Are...

Nafasi Ya Kazi :- Sales Executive (Agri Machi

Job OverviewEMPLOYMENT OPPORTUNITY 1.0  INT...

Leave a Comment

Agricultural Development

What is Agriculture? Agriculture refers to a fundamental human activity, which i...

Population and Development

POPULATION STUDIES Is the general activities carried out for the purpose of acqu...

Study of Soil

CONCEPT OF SOIL AND SOIL PROFILE Soil appears very complex and thus differe...

Water Masses

GROUND WATER WATER CYCLE Rain falls on the earth surface in filtrates (soaks int...

Topic

The Dynamic-Earth And Consequence

THEORIES THEORY OF ISOSTASY Denudation has been going on the continents where to...

Position Behaviours And Structure Of The Earth

GLOBE Is the model of the earth Earth Is ball of rock partly covered by wat...

Photograph interpretation

Photograph are the true image pictures showing truly appearance of the earth’s...

Maps and map interpretation

What is a map? Map is a scaled conventional representation of the whole or any o...

Simple survey and mapping

INTRODUCTION TO SURVEYING Surveying is an art or a science of measuring and reco...

Field research techniques

Definitions of Research – Research is the systematic investigation into a...

Application of statistics in geography

STATISTICS Statistics is a branch that deals with every aspect of the data. Stat...

Chat Icon Close Icon