Majina waliochaguliwa kujiunga na Mafunzo Jeshi la Uhamiaji 2025 | Walioitwa kwenye mafunzo uhamiaji 2025
Habari njema kwa vijana wote waliokuwa wakisubiri kwa hamu kujua kama wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya jeshi la Uhamiaji! Idara ya Uhamiaji Tanzania imetoa orodha ya majina ya vijana 331 waliofanikiwa kuchaguliwa kujiunga na mafunzo ya idara hiyo yatakayoanza Machi 1, 2025. Tangazo hili rasmi limetolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji mnamo Februari 6, 2025, likiwa ni mwitikio wa zoezi la udahili lililofanyika hivi karibuni.
Wito huu unawahusu vijana wote walioomba nafasi za mafunzo katika kada mbalimbali za Uhamiaji, ikiwa ni pamoja na maafisa uhamiaji, wakaguzi wa mipaka, na maafisa wa uchunguzi. Ni fursa adhimu kwa vijana wa Kitanzania wenye ari ya kulitumikia taifa kupitia idara nyeti inayohusika na usalama wa mipaka, udhibiti wa uhamiaji, na utoaji wa vibali vya kuishi na kufanya kazi nchini.
Endapo jina lako liko kwenye orodha, basi pongezi kwako! Lakini, ili kujihakikishia nafasi yako katika mafunzo haya, ni muhimu kuzingatia maelekezo yote yaliyotolewa na Idara ya Uhamiaji, ikiwemo kuripoti kwa wakati na kuwa na nyaraka zote muhimu.
Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji, vijana waliopata nafasi ya mafunzo wanatakiwa kuripoti katika Chuo cha Uhamiaji cha Raphael Kubaga, kilichopo Boma Kichakamiba, Wilaya ya Mkinga, Mkoani Tanga. Wanafunzi wote wanapaswa kufika chuoni siku ya Jumamosi, Machi 1, 2025, kati ya saa 2:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana.
Kwa wale walioomba kupitia Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, wanapaswa kuripoti katika Afisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Unguja (Tunguu) siku ya Jumatatu, Februari 24, 2025, kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Baada ya mchakato wa udahili uliohusisha vijana wengi kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania, Idara ya Uhamiaji imetoa orodha ya majina ya waombaji waliofanikiwa kupata nafasi ya kujiunga na mafunzo ya Jeshi la Uhamiaji kwa mwaka 2025. Jedwali lifuatalo linaonyesha orodha kamili ya majina ya waliochaguliwa, likiwa limepangwa kwa alfabeti ili kurahisisha utafutaji.
Wanafunzi wanatakiwa kuripoti na nyaraka halisi zifuatazo:
Mwanafunzi yeyote atakayekosa nyaraka hizi hatapokelewa chuoni.
Wanafunzi wote wanapaswa kuja na vifaa na mahitaji yafuatayo:
Kwa wanafunzi ambao hawana baadhi ya vifaa hivi, vinaweza kupatikana katika Duka la Chuo kwa gharama zao binafsi.
Kwa Maelezo na taarifa zaidi tembelea tovuti rasmi ya Uhamiaji kupitia www.immigration.go.tz.
Mapendekezo ya Mhariri:
Job type: Full-timeOFFICE LOCATIONArusha, Tan...
UNFPA Consultant RosterContract type: Consult...
POST ENGINEER II (ELECTRICAL). – 2 POSTEMPLO...
Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment.
Translation is a process by which ideas that are written in one language ar...
Are the abilities that allow you to write effectively and concisely. A competent...
Reading is the process of going through written information or piece of wor...
What is Speaking? SPEAKING SKILLS: Speaking is simply the act of talking wh...
Listening is ability to accurately receive and interpret messages in the communi...
This is the field or branch of morphology which studies different principles or ...
Language is a symbol system based on pure or arbitrary conventions…...
Ecology is the study of the interactions between living things, such as humans, ...
EVOLUTION Evolution is a change in the genetic composition of a population...
Genetics is the study of heredity and variationHeredity- is the passage of chara...