Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali) | Majina Ya Interview Ajira Za Ualimu 2025

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)

Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi majina ya waombaji walioitwa kushiriki usaili wa nafasi za kazi za ualimu kwa mwaka 2025. Tangazo hili limekuja kama sehemu ya mchakato wa ajira za walimu 14,648 zilizotangazwa awali. Idadi ya waombaji walioonyesha nia ya kuajiriwa ni 201,707, hali inayodhihirisha ushindani mkubwa katika mchakato huu wa ajira.

Katibu wa Ofisi ya Rais, Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, ametangaza kuwa usaili huu utafanyika kuanzia tarehe 14 Januari, 2025 hadi tarehe 24 Februari, 2025. Usaili umegawanywa katika hatua mbili kuu ambazo ni usaili wa kuandika na usaili wa mahojiano kwa wale watakao faulu usaili wa kuandika, na utahusisha vituo vilivyotengwa katika mikoa mbalimbali.

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)

Vituo Vilivyotengwa Kwa Ajili ya Usaili Wa Kada Za Ualimu 2025 Mikoa Mbalimbali

Majina ya walioitwa kwenye usaili kada ya Ualimu 2025 yamepangwa kwa kuzingatia kada na mikoa wanakotakiwa kufanya usaili. Hapa chini ni orodha ya baadhi ya mikoa pamoja na vituo vilivyo tangazwa kutumika kwa ajili ya usaili:

Mkoa wa Mtwara

  • Usaili wa Kuandika: Tanzania Institute of Accountancy – Mtwara Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Ufundi – Mtwara

Mkoa wa Mwanza

  • Usaili wa Kuandika: Butimba Teachers’ College & Institute of Rural Development Planning (IRDP) – Mwanza Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Alliance English Medium – Mahina Mwanza

Mkoa wa Njombe

  • Usaili wa Kuandika: Shule ya Sekondari Njombe
  • Usaili wa Mahojiano: Shule ya Sekondari Njombe

Mkoa wa Pwani

  • Usaili wa Kuandika: Whipahs Education Centre (Karibu na Mizani ya zamani)
  • Usaili wa Mahojiano: Kituo cha Elimu cha Wipahs

Mkoa wa Rukwa

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Ualimu Sumbawanga – Pito
  • Usaili wa Mahojiano: Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) – Muva

Mkoa wa Ruvuma

  • Usaili wa Kuandika: Songea Teachers’ College, Songea Girls’ Secondary School & Open University of Tanzania – Songea Campus
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Songea

Mkoa wa Shinyanga

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Ushirika Moshi (MUCoBS) – Kampasi ya Shinyanga, eneo la Kizumbi
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Ualimu Shycom

Mkoa wa Kilimanjaro

  • Usaili wa Kuandika na Mahojiano: Chuo cha Ushirika Moshi (MOCU)

Mkoa wa Lindi

  • Usaili wa Kuandika: Shule ya Sekondari WAMA Sharaf – Mitwero
  • Usaili wa Mahojiano: Shule ya Sekondari WAMA

Mkoa wa Manyara

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Uhasibu Arusha – Kampasi ya Babati
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Uhasibu Arusha – Kampasi ya Babati

Mkoa wa Mara

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare – Musoma
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Maendeleo ya Jamii Buhare – Musoma

Mkoa wa Mbeya

  • Usaili wa Kuandika: Catholic University of Mbeya (CUoM)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST)

Mkoa wa Morogoro

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) – Moringe Sokoine Campus (Jengo la Maabara Jumuishi)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA)

Mkoa wa Arusha

  • Usaili wa Kuandika: Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
  • Usaili wa Mahojiano: Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)

Mkoa wa Dar es Salaam

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Chuo cha Usafirishaji (NIT), Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu DSM (DUCE)
  • Usaili wa Mahojiano: Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigamboni

Mkoa wa Dodoma

  • Usaili wa Kuandika: Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
  • Usaili wa Mahojiano: Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma (PSRS), eneo la Dr. Asha Rose Migiro

Ratiba Ya Usaili Wa Kada Za Ualimu 2025

KadaTarehe Usaili Wa MchujoUsaili Wa Mahojiano
Mwalimu Daraja La Iii B – Hisabati (Mathematics)Hakuna14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Hisabati (Mathematics)Hakuna14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Fizikia (Physics)Hakuna14 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Fizikia (Physics)Hakuna15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kiingereza (English)Hakuna15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Fasihi Ya Kiingereza (English Literature)Hakuna15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Ushonaji (Textile)Hakuna15 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kilimo (Agriculture)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kifaransa (French)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Lishe (Food And Human Nutrition)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kifaransa (French)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Somo La Biashara (Bookeeping)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Biashara (Bookkeeping)Hakuna16 Januari,2025
Fundi Sanifu Maabara Ya Shule Daraja La Ii (School Laboratory Technician Ii)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Somo La Biashara (Commerce)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Elimu MaalumHakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Somo La Biashara (Commerce)Hakuna16 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii A – Elimu MaalumHakuna16 Januari, 2025
Walimu Wa Amali Na BiasharaHakuna17 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iiia18 Januari, 202521 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii A – Elimu Ya Awali22 Januari, 202524 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Jiografia (Geography)22 Januari,202524 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Baiolojia (Biology)22 Januari, 202524 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Tehama (Information And Communication Technology)22 Januari, 202524 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kemia (Chemistry)22 Januari, 202524 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kiswahili25 Januari, 202528 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Shule Ya Msingi29 Januari, 202531 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Elimu Ya Awali29 Januari, 202531 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Kiswahili29 Januari, 202531 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Historia (History)29 Januari, 202531 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii B – Uraia (Civics)29 Januari, 202531 Januari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Jiografia (Geography)01 Februari,, 202504 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Tehama (Information And Communication Technology)05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Uchumi (Economics)05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Shule Ya Msingi05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Elimu Maalum05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Uraia (Civics)05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kilimo (Agriculture)05 Februari, 202507 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Historia (History)08 Februari, 202511 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kemia (Chemistry)12 Februari, 202514 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Kiingereza (English)15 Februari, 202518 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iii C – Fasihi Ya Kiingereza (English Literature)19 Februari, 202521 Februari, 2025
Mwalimu Daraja La Iiic (Baiolojia)22 Februari, 202524 Februari, 2025

Angalia Hapa Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Ualimu 2025 (Mikoa Mbalimbali)

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili Jeshi la Uhamiaji 2025
  2. Ajira Portal | Ajira Mpya za Walimu December 2024
  3. Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal (Immigration Recruitment Portal)
  4. Nafasi za Kazi Benki Kuu ya Tanzania BOT December 2024
  5. Mfano wa Barua ya Maombi ya Kazi Jeshi la Uhamiaji
  6. Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 30 November 2024
  7. Jinsi ya Kutuma Maombi ya Kazi Uhamiaji Kupitia Immigration Recruitment Portal



Related Post

Nafasi Ya Kazi :- Chief Financial Officer (CF

Wealth Capital Fund Limited (WeCF), a premier ...

Nafasi Ya Kazi :- Consultant – Adolescent G

Job type: Full-timeConsultant – Adolescent ...

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Kutanga

Majina ya Walioitwa Kwenye Usaili TRA Kut...

Leave a Comment


Translation And Interpretation | English Form 5 & 6

Translation is a process by which ideas that are written in one language ar...

Writing Skills | English Form 5 & 6

Are the abilities that allow you to write effectively and concisely. A competent...

Reading Skills | English Form 5 & 6

Reading is the process of going through written information or piece of wor...

Speaking Skills | English Form 5 & 6

What is Speaking? SPEAKING SKILLS: Speaking is simply the act of talking wh...

Listening Skills | English Form 5 & 6

Listening is ability to accurately receive and interpret messages in the communi...

Word Formation | English Form 5 & 6

This is the field or branch of morphology which studies different principles or ...

Introduction To Language | English Form 5 & 6

Language is a symbol system based on pure or arbitrary  conventions…...

Topic

Form Five and Form Six

Ecology

Ecology is the study of the interactions between living things, such as humans, ...

Evolution

EVOLUTION Evolution is  a change in the genetic composition of a population...

Genetics

Genetics is the study of heredity and variationHeredity- is the passage of chara...

Chat Icon Close Icon