Darasa Huru

Darasa Huru

Limitless Potential

Education at your fingertips, with no price tag attached.

Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira Mpya za Uhamiaji 2024


Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira Mpya za Uhamiaji 2024

Maombi ya Ajira Mpya ya Idara ya Uhamiaji yamefunguliwa rasmi kwa vijana wa Kitanzania wenye sifa stahiki. Kamishna Jenerali wa Uhamiaji ametangaza nafasi hizi kwa mujibu wa Kanuni Namba 11(1) ya Kanuni za Uendeshaji za Uhamiaji za mwaka 2018. Kwa mujibu wa tangazo rasmi la ajira lililotolewa, mwisho wa kutuma maombi kwa vijana wote waliokidhi vigezo umewekwa kuwa tarehe 13 Desemba 2024, na zoezi hili linafanyika kwa njia ya mtandao kupitia tovuti rasmi ya Idara ya Uhamiaji.

Tarehe Muhimu Kuhusu Ajira Mpya jeshi la Uhamiaji

  • Kuanzia: 29 Novemba 2024
  • Mwisho: 13 Desemba 2024

Mwisho wa Kutuma Maombi Ajira Mpya za Uhamiaji 2024

Mapendekezo ya Mhariri:

  1. Mfumo wa Maombi ya Ajira Uhamiaji Recruitment Portal (e-recruitment.immigration.go.tz)
  2. Nafasi Mpya za kazi Jeshi la Uhamiaji November 2024
  3. Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 30 November 2024
  4. Nafasi Mpya za Kazi Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi Novemba 2024
  5. Nafasi 3 za Kazi ya Dereva Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi | Mwisho 06 November 2024
  6. Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira za Walimu 2024 MDAs & LGAs

Related Post

Nafasi Ya Kazi :- STEM Apprenticeship At Diag

Job type: Full-timeSTEM Apprentice ProgramWe ...

Nafasi Ya Kazi :- Finance Officers At VVOB De

Job type: Full-timeWe are looking for:Finance...

Nafasi Ya Kazi :- Conservation Ranger II –

Job type: Full-timePOST CONSERVATION RANGER I...

Leave a Comment

Agricultural Development

What is Agriculture? Agriculture refers to a fundamental human activity, which i...

Population and Development

POPULATION STUDIES Is the general activities carried out for the purpose of acqu...

Study of Soil

CONCEPT OF SOIL AND SOIL PROFILE Soil appears very complex and thus differe...

Water Masses

GROUND WATER WATER CYCLE Rain falls on the earth surface in filtrates (soaks int...

Topic

The Dynamic-Earth And Consequence

THEORIES THEORY OF ISOSTASY Denudation has been going on the continents where to...

Position Behaviours And Structure Of The Earth

GLOBE Is the model of the earth Earth Is ball of rock partly covered by wat...

Photograph interpretation

Photograph are the true image pictures showing truly appearance of the earth’s...

Maps and map interpretation

What is a map? Map is a scaled conventional representation of the whole or any o...

Simple survey and mapping

INTRODUCTION TO SURVEYING Surveying is an art or a science of measuring and reco...

Field research techniques

Definitions of Research – Research is the systematic investigation into a...

Application of statistics in geography

STATISTICS Statistics is a branch that deals with every aspect of the data. Stat...

Chat Icon Close Icon