3 minutes

Usimulizi

Usimulizi ni jumla ya maelezo yanayotolewa na mtu au watu wengi kuhusu tukio fulani. Tukio hilo linaweza kutokea katika wakati mfupi uliopita au zamani kidogo.

5 minutes

Utungaji Wa Kazi Za Kifasihi

Kazi za fasihi simulizi hazikutokea tu, zilitungwa. Mtu fulani alikaa na akatunga kazi fulani ambayo inajulikana katika jamii. Katika mada hii utajifunza kanuni mbalimbli zinazohusika na utunzi wa kazi za fasihi simulizi. Pia utapata fursa ya kujifunza jinsi ya kutunga…

3 minutes

Uhakiki Wa Kazi Za Fasihi Simulizi

Fasihi simulizi kama zilivyo kazi nyingine za fasihi andishi hufanyiwa uhakiki. Uhakiki huu huzingatia vipengele vya fani na maudhui ili kubainisha usanaa wa kazi husika pamoja na kile ilichokusudia kufikishwa kwa hadhira.

13 minutes

Matumizi Ya Lugha Katika Miktadha Mablimbali

Matumizi ya lugha ni namna ambavyo wazungumzaji wa lugha hutumia lugha kwa kuzingatia mila, desturi na kaida mbalimbali za jamii inayohusika.

3 minutes

Topic

Kila mada inafundishwa kwa kutumia vitabu vya kiada vilivyopitishwa na wizara ya elimu, pamoja na nyenzo nyingine za ziada kama vile makala za magazeti, vipindi vya redio na televisheni, na mitandao ya kijamii. Lengo ni kuhakikisha wanafunzi wanapata maarifa na…

2 minutes

Form Two

Lengo kuu la somo la Kiswahili ni kuwasaidia wanafunzi kuwa na ujuzi wa kutosha wa lugha hii, waweze kuitumia kwa ufasaha katika mawasiliano yao ya kila siku na pia waweze kuelewa na kuthamini fasihi na utamaduni wa Kiswahili.

2 minutes

Kiswahili

Kiswahili ni lugha ya Bantu inayozungumzwa na mamilioni ya watu katika ukanda wa Afrika Mashariki, Kati, na Kusini. Lugha hii ni miongoni mwa lugha rasmi katika nchi kama Tanzania, Kenya, Uganda, na ni lugha ya kitaifa ya Tanzania. Kiswahili pia…